Tangazo la ushirikishwaji wa umma, kaunti ya Kwale

Thursday, 15 May, 2025

Tangazo la ushirikishwaji wa umma, kaunti ya Kwale

Tangazo la ushirikishwaji wa umma, kaunti ya Kwale

Je Wewe ni mkaaji wa Kaunti ya Kwale na ungependa kutoa maoni yako kuhusu makadirio ya bajeti ya mapato na Matumizi kwa Mwaka wa Fedha wa 2025/26? 

Kamati ya Bajeti na Uidhinishaji wa Matumizi imeandaa mkutano wa hadhara katika zoezi la ushirikishwaji wa Umma katika Kaunti hio.

🗣️ Toa maoni yako.

📅 Tarehe : Kesho Alhamisi, Mei 15, 2025

 ⏰ Saa: Nne hadi Saa Tisa 

🏠 Kikao: Ukumbi wa Kwale Cultural Centre