Mbunge wa Limuru, Mhe. John Kiragu Kuwasilisha Hoja ya Kukabili Ajali za Barabarani

Thursday, 17 April, 2025

Mbunge wa Limuru, Mhe. John Kiragu Kuwasilisha Hoja ya Kukabili Ajali za Barabarani

Mbunge wa Limuru, Mhe. John Kiragu Kuwasilisha Hoja ya Kukabili Ajali za Barabarani

Mbunge wa Limuru, Mhe. John Kiragu azungumza kuhusu jinamizi la ajali za barabarani linaloendelea kusababisha maafa katika maeneo mbali mbali nchini.

Takriban watu kumi wameaga dunia katika kipindi cha chini ya wiki mbili pekee katika eneo la Limuru kwenye barabara kuu ya Nairobi-Nakuru. 

Mhe. John Kiragu asema ametayarisha mswada linaloenga kutwiga jukumu la kuhakikisha usalama wa uchukuzi wa ardhini kwa shirika la NTSA.