Mswada wa Fedha wa 2025 (Finance Bill 2025) Read more about Mswada wa Fedha wa 2025 (Finance Bill 2025) Mswada wa Fedha wa 2025 (Finance Bill 2025)UtanguliziMswada wa Fedha (Mswada wa Bunge la Taifa Nambari 19 wa 2025) ni Mswada unaodhaminiwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Fedha na Mipango ya Taifa, Mheshimiwa Kuria Kimani.Mswada ulichapishwa tarehe 6 Mei 2025. Ulisomwa kwa mara ya kwanza bungeni na baada ya hapo, Kamati ya Fedha na Mipango ya Taifa ilikabidhiwa Mswada.Ushirikishwaji wa Umma